JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


PSPF WAFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA MANISPAA, DAR NA PWANI

Share This
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015.

Profesa Hermans Mwansoko, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo, akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao kazi cha siku moja kwa maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri na Manispaa za Dar es Salaam na Pwani, kilichoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, na kufanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015

Meneja Masoko na Mawasiliano, wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Contatina Martin, akizungumza kwenye kikao hicho

Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015.

Gabriel Silayo, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Gabriel Silayo, akitoa mada kuhusu uwekezaji wa Mfuko huo, wakati wa kikao kazi hicho


Meneja wa Actuarial Service and Risk Mnagement wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ibrahim Maftaha, akitoa mada kwenye kikao hicho

Mkurugenzi wa Tehama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Andrew Mkangaa, (katikati), akiongoza kipindi cha maswali na majibu wakati wa kiikao kazi cha siku moja kilichoandaliwa na Mfuko huo kwa maafisa na wakuu wa idara za halmashauri za miji na manispaa za Dar es Salaam na Pwani, na kufanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Alhamisi Machi 26, 2015. Kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji, Neema Muro na kushoto ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Gabriel Silayo

Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha siku moja cha maafisa na wakuu wa idara za halmashauri za miji na Manispaa za Dar es Salaam na Pwani, wakisoma vipeperushi vyenye maelezo ya huduma mbalimbali za Mfuko wa Pensheni wa PSPF, wakati wa warsha hiyo iliyoandaliwa na Mfuko huo na kufanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Alhamisi Machi 26, 2015

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad